Xinho De Roi
New Member
- Jan 3, 2025
- 1
- 4
Kwa Sasa Mahindi kwa wakulima wengi hakuna,mchele unaenda Bahi, Maharage kondoa na Mpwapwa,karibu!Habari ndugu zangu wa JF
Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma.
Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye biashara ya nafaka(mchele, mahindi, maharage, kunde ngano n.k) Dodoma na msaada wa location pia Kwa mkoa wa Dodoma .
Naombeni sana msaada wenu ndugu zangu
Mwenyezi Mungu awajalie sana
Kama una mtaji na mzigo upo Leta Kilimanjaro nikutafutie sokoHabari ndugu zangu wa JF
Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma.
Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye biashara ya nafaka(mchele, mahindi, maharage, kunde ngano n.k) Dodoma na msaada wa location pia Kwa mkoa wa Dodoma .
Naombeni sana msaada wenu ndugu zangu
Mwenyezi Mungu awajalie sana
Jamani wachina Xinho De Roi mpaka kwenye uchuuzi wa nafaka mpo?? Khaa mtatuuua sasa😃Habari ndugu zangu wa JF