Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa.
Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha.
Sasa imekuwa mwanzoni nikifungua biashara mpya huwa inalipa sana yaani utauza juu kweli lakini baada ya miezi miwili to biashara inakuwa mbaya, yaani licha ya kuwa mfanyabiashara ukweli situmiagi madawa nategemea Mungu tu.
Kuna wakati natamani hata kurogo ila nikikimbuka Mungu kakaa namimi tangu nikiwa sina kitu mpaka leo basi naendelea kumtumainia.
Hebu naomba mnisaidie jamani.