Naombeni ushauri mie, nimeaibika sijui nitauficha wapi uso wangu

[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si uende kwa magreth
 
Kwamba Acc haikuwa na jina.....

Namba ya mke wako huijui....

Uwanja wa sms hauonyeshi. Chatting za nyuma...
Ukae nje siku tatu umesimama wew jini?....

Kijana wa hovyo sana wewe,,,, utaibiwa mke ukioa...
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…