Naombeni ushauri 'Mini car' gani ya kununua

una uhakika? maana sio kwa maneno haya...

Haya bana..ushauri wangu kanunue AUDI kati ya A1 - A3

uchumi ukibana..nunua COOPER

ila wewe kwa mbwembwe zako nunua tu VITZ ukitaka durability tafuta STARLET Zenji benji nzuri kabisa...
Mtu ana familia ya watu wa nne halafu anataka baby walker?!! Imagine watu wanne ndani ya Passo. Ukute yeye na mkewe wote heavy weight hicho kigari kitakufa mapema sana kwasababu kila siku kinakuwa over loaded.

Ukiwa na familia baby walker hazifai.
 
Mkuu,kwa vigezo vyako naona options ni hizi;
1. Toyota Rush (1490cc)
2. Suzuki Jimny (660cc) -za kuanzia mwaka 2000+
3. Mitsubish Pajero mini (660cc) -za kuanzia mwaka 2000+
Hizo Rush ni very expensive mkuu. Na sijajua kwanini ghali sana. Bora ajaribu Toyota Camry nayo inafanana tu na Rush ila ni nafuu sana iko juu na ni 4WD.
 
Mtu ana familia ya watu wa nne halafu anataka baby walker?!! Imagine watu wanne ndani ya Passo. Ukute yeye na mkewe wote heavy weight hicho kigari kitakufa mapema sana kwasababu kila siku kinakuwa over loaded.

Ukiwa na familia baby walker hazifai.
Tatizo uwezo wetu ni mdogo kiongozi. Naona wengi sasa ni magari madogo tu, jiji la Dar limesheheni hizo 'baby walkers' aisee.
 
A normal family car ni ile ambayo watu kuanzia watano wanakaa bila kubanana. Passo,vits,starlet hazifai kwa familia. Ni ndogo sana kwa size ya bodi na engine.
 
Mtu ana familia ya watu wa nne halafu anataka baby walker?!! Imagine watu wanne ndani ya Passo. Ukute yeye na mkewe wote heavy weight hicho kigari kitakufa mapema sana kwasababu kila siku kinakuwa over loaded.

Ukiwa na familia baby walker hazifai.

Halafu anakuambia hela si tatizo!

Imebidi nimjibu tu sasa nifanyeje...
 
Mkuu,kwa vigezo vyako naona options ni hizi;
1. Toyota Rush (1490cc)
2. Suzuki Jimny (660cc) -za kuanzia mwaka 2000+
3. Mitsubish Pajero mini (660cc) -za kuanzia mwaka 2000+
Mkuu toyota jimny is very expensive, labda uchukue yenye odometer 100,000 +..
 
Jaribu kuchukua Opa ni nzuri sana kwa Low Fuel consumption
 
una uhakika? maana sio kwa maneno haya...

Haya bana..ushauri wangu kanunue AUDI kati ya A1 - A3

uchumi ukibana..nunua COOPER

ila wewe kwa mbwembwe zako nunua tu VITZ ukitaka durability tafuta STARLET Zenji benji nzuri kabisa...
Cooper inauzwaje aiseee
Na izo audi je??
 
Hi, nataka kununua tax, kwa ajili ya biashara je ni gari ipi inafaa na kwa bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…