Utoto na utaahira vimekujaa sana, ukikua utagundua ya kuwa vocabulary ya "nampenda sana siwezi kumuacha" hai'exist katika maisha halisi.Asante kaka lakn nampenda sana sana!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utoto na utaahira vimekujaa sana, ukikua utagundua ya kuwa vocabulary ya "nampenda sana siwezi kumuacha" hai'exist katika maisha halisi.
Instead of using your emotions kwenye maamuzi yako use your brain na hapo kila kitu kitakuwa rahisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu Anakuona
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu sio mzee baba mkuu .... huyu ni dogo kabisa tena anaweza akawa nwanao ila ndio hivyo tena mambo ya fake ids hayaMzee baba uyo ashakutana na njemba nyengine... we kama vip jikusanye utafute chombo chengine mzee baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha huyu mwanao umemnunulia simu ...now wayaona matokeo yake !?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unagongewa mkuuNaomben mnishauri nilikuwa na mpenz nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate. Ila sas amebadilika sana ananiumiza sana akili! Kwa sabab nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazaz hata mmja zaid sana anajua geto kwangu! Hvi majuz tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sas anauza duka la mtu na mm ninafundisha ! Nimemuomba aje auze duka langu hatak! Juz aliniambia nataka kwenda kanisan kwenye mkesha ila kwa sabab ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto! Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! Mm nikamwambia kawadanganye watoto! Jana amechange kabsa anasema tuna mapenz ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hatak nimempgia simu usiku kucha hapokei leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! Na sim ya mtu mwngine hapokei! Naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakat nampenda sana na nilimpromis mwez wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yakre ni mbov anaogopa kuomba kazi kwa sabab ya matokeo yake! Nishaurin wapendwa maana nimepgwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani taabu tupu!!
Ooouh.Huyo kashajua umejifia kwake ndio mana anakutesa hivyo...inauma ila anza kumtoa akilini na moyoni
Pole
Labda kakatiwa viuno kitandani haoni mbele.Mtu amekublock kwenye namba zote alafu bado unaendelea kumuita mpenzi!
Jiongeze Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Coco wewe ulipokuwa kabinti ulikuwa husumbui vidume hivi?Pole
Huyo ana mwingine
Nawe basi kuwa mgumu utapata anayekuheshimu.
Labda kakatiwa viuno kitandani haoni mbele.
Coco wewe ulipokuwa kabinti ulikuwa husumbui vidume hivi?
Sema hakianani? HongeraEeeeeeh
Mie nmoja tu maishani mwangu na ndie ninaye hadi sasa
Sema hakianani? Hongera
Sawa sawa.. nawe utafute siku ya kunipongeza basi nami nipate kukushukuru.Nashukuru kwa kunipongeza.