Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

=>Epuka kuwekeza moyo wako kwa mwanamke.
=>epuka kuwekeza pesa kwa mwanamke
=>jitahidi sana asijue hisia zako kama kweli wampenda/usieleweke ili asiweze kucheza na saikolojia yako kama mwanaume
=>epuka kuomba misamaha kila wakati bila ya sababu zenye mashiko√√


Mkuu samahani kwa kukuorodheshea haya mambo, nahisi lengo la kuanzisha uzi hapa forum, ni kwaajii ya kuhitaji msaada wa mawazo,,,,

Ila ukweli ni kwamba ukiona manyoya ujue kuna ndege kashaliwa hata usiulize nduguyangu,


yaan hata uwe ume mpenda vipi, uwe ume msomesha vipi na kumjali katika shida zake zote hakikaaaaa nakwambia kama ana hulka ya kulipa mateke atakulipa mateketu.....


Bro/nduguyangu/mtanzania mwenzangu, hebu muache huyo mwanamke asiwazibie wengine nafasi, wanawake ni weeeeeengi sana mpaka wengine wanakosa vijana wa kuwaoa, muache aende huyo ashampata mwingine japo najua ningumu kumsahau, ila kubaliana na hali, ikumbukwe kua kila kinacho tokea hutokea kwa sababu, maybe God want you to meet the right choice for you, usimbembeleze narudia kwa mara nyingine, muache kwakua mapenzi sio vita, ni makubalianitu, nahisi amechagua, mapenzi ya mwanzoni yale ya motomoto yanampa muhemko bado...

Atakukumbuka.....
La maana muombee uzima, hakika udimpigie simu, usimtumie ujumbe, hata sslama ya aina yiyote.


Endelea kulijenga taifa la tanzania, jamii inatutegemea sote achana nae, kubari matokeo kama kweli we ni mshindani mzuri.


Hope you have understood what I wanted to express out to you, kazi kwako sasa..

By kanchibay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti "mpenzi wangu"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Fanya kitu kimoja tu
Jizue kumtafta kama mwez mmoja hivi asipokutafta jua sio wako Hugo ila akikutafta jua ni wako huyo ila akikutafuata ile Mara ya 1 usimshobokee sana mfano akipga cm usipokee akituma text usimjubu hata kwa mwezi 1 tena mwingne atanyooka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asante sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Eti milio tu kama ya samsung[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli elimu ya siku hizi..mmmh..una degree then unateswa na form four failure!..Unaweza ukasema mapenzi hayana elimu lkn thinking capacity yako inaonekana ipo chini mno!..Mbona ipo wazi kabisa anakuona wewe kama bwege vile..usinichukie nakupa ukweli..ulichoandika hapa kinatakiwa kiandikwe na kijana anayemaliza form four au chini yake!..nina uhakika una late 20s..Ulitaiwa uwe umeshavuka hizi sarakasi!am sorry kama utakwazika ila umechelewa sana kupevuka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa SANGOMA kamloge,kwan huna hata chupi yake au nguo yake yoyote ndani kwako?? Wanawake kama hao dawa yao nikuwa jeuri zaidi yao... Nenda kwa SANGOMA piga kipapai ata bleed mwezi mzima bila yakupumzika,au ataoteshwa tende kwenye mguu... Hawa mademu wakati mwingine unakua kauzu zaidi yao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asante sana tena mno nimekupata na nitafanya hayo kabsa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…