Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Umeachwa. Believe it!
 
Farewell
 
Just move ur self the only one u supposed to fell and to love ur parent
 
Keshapata mtu mwingine huyo, achana nae tafuta mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaachwa dogo na adui yako yamkini ni huyo boss wa huyo mpenzio ndio anakutafunia washel yako.
Akiona hii coment hatajeuka nyuma tena, naoana unamtafutia sumu itakayommaliza taratibu
 
Umemaliza chuo lkni bado akili yako haiwezi kung'amua mambo aya ngoja akusamehe upate maumivu mara mbili kuwa na mahusiano na mtu asiyejitambua anataka nn ni sawa na kuendesha gari lisilo maafuta wala halitaenda na unajua kabisa halitaenda.

Ila tambua tu mchumba asomeshwi. Somesha mdogo wako ivi wanawake wengine hamuwaoni jmn cute b yupo apo humuoni
Mwana kuyataka mwanakuyapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa hujasema wewe u jinsia gani ila bila shaka wewe ni mwanaume.
Ushauri:Mwanamke akisema tuachane, fanya kama anavyosema usichelewe hata dakika moja.
Ukilazimisha utakuja kulia au kufa bure.
 
Kweli mapenzi yenu yalikuwa ya kitoto, ukiona hivyo jua hupendwi hakuna haja ya kuomba ushauri hapa, jipange upya utafute mpenzi mwingine.
 
wacha ujinga dogo, huyo keshakuona boya,,,,,na usidhubutu kumsomesha,.......we endelea tuu, jifunze punyeto....inaliwaza sometimes.
 
Kwanza pole sana mkuu, kitu unachotakiwa kufanya ni na wewe mpotezee mazima no call no text. Nikisema nikupe moyo nitakua nakudanganya huyo manzi kashapata basha achana nae move on. Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…