Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Piga chini hiyo pimbi jiweke mbali nae kabisa walaa usimtumie msg na kumpigia simu tena jikeep busy ili umsahau huyo boya.MOVE ON
 
Hiki ndo kipindi cha kukutoa katika ujana kuingia utu uzima jikaze uje uwe balozi wa vijana miaka ijayo. Maumivu unayoyapata ni tiba tosha itafika kipindi utashangaa kuwa kwa nini uliumia kwa mtu ambaye hakuwa sahihi kwako. Huwa nawonea huruma sana vijana wanaopitia wakati kama wako wanahitaji ushauri wa kisaikolojia maana tayari hapo unasumbuliwa na ugonjwa wa upweke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga chini hiyo pimbi jiweke mbali nae kabisa walaa usimtumie msg na kumpigia simu tena jikeep busy ili umsahau huyo boya.MOVE ON

Huku ni sahihi kupata ushauri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Huku ni sehem sahihi kupata ushaur


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ingawa unampenda...kwa mazingira yanavyoonyesha ni vyema ukakaza moyo ukaachana nae, kama ni wa kwako atajirudi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauriwe nn sasa labda hapo siamesha kublock bhac na ww mdelete ngoma droo iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…