Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Na wewe mlime block
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu mieeee sijawahi kupitia hali hiyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we hujui mapenzi ya mwanzoni yalivyo magumu eeh! Usijifanye kusahau yaliokutokea O'level binti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu mieeee sijawahi kupitia hali hiyoooo
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kiongo hiikiiiii
 
Kaka Acha kuongozwa na Mihemko ya mapenzi, Jifunze kumuacha aende...Uyo nna uhakika 100% sio wako tena, Muache tu ata kama utaumia, ukiendelea kulea kidonda icho utakatwa kabisaa mguu
 
Pole sana
 
Omba sana akigoma
Roga sana' ikishindikana
Muue' akikataa kufa
Kufa wewe
 
Tafuta pesa mkuu,,hyo ndy dawa ya mapenzi na nguvu za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…