Jamani mimi naomba ushauri kwa wataalamu JE huu ni ugonjwa ama UTAMU TUU UMEMNOGEA???
chenjichenji Th Name rubii
Nipe mimi nimjaribu, nitampa tiba!Heshima kwenu wataalamu wa jukwaa hili!
Baada ya salamu mimi ni kijana bado sijaoa, nina mpenzi na nimedumu naye about 2years now...ni mzuri wa sura, umbo na tabia!
Ni mwanaharakati mzuri sana, anajipenda na ananipenda pia! ni mtu anayependa mafanikio kwa ujumla! ni wife material for me!
Licha ya sifa zote hizo analo tatizo moja nalo ni "tunapokuwa kwenye "game" akifika kileleni huwa anapitiliza kwa utamu mpaka anakojoa na mkojo wa asubuhi kabsaa!
Baada ya game nikimuuliza kulikoni hivi huwa anajibu nisamehe mpenzi wangu umenifikisha mbali mpaka nimeshindwa kujizuia....nikimkazia huwa analia sana!
Naombeni ushauri wenu jamani huu ni ugonjwa au mautamu yakizidi basi ndio unakuwa nusu mfu??
Karibuni matabibu na wataalamu wa nyapu!
Heshima kwenu wataalamu wa jukwaa hili!

Muwe mnafanya chini ya sakafu
mkuu mbona vimichepuko vingine navigegeda kwa dizain ile ile lakini havikojoi mkojo wa asubuhi?? why always yeye??
Kuwa na mwanaume bora nacho kipaji
Ni mgonjwa sana na usirudie kufanya naye uasherati!
Hawa vijana bwana, kulima hawajui na hata kujukuwa kuwa kwa jirani mavuno yako tayari hawajui...
Ni masikitiko makubwa kuuza almasi au dhahabu yako kwa mkompo, tena kwa sonara ambaye ni machinga!