Izrael k Adam
Member
- Jan 18, 2022
- 6
- 5
Habari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?
Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?