Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

Izrael k Adam

Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
6
Reaction score
5
Habari zenu wadau

Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.

Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?

Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?
 
Hahahaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Tanzania kuna burudani sana
 
Kama hauna Rasta usitume namba itakuwa ni scam[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hili nalo la kuomba ushauri humu jf??? mpe ya mama yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo unaogopa huna hela?hujui kizungu?au ulishazoea kudanganya wanawake wa kiswahili sasa umekutana na mzungu anakuja kweli ili aone hayo mauongo yako...
 
Mpe namba huyo robot uonje chungu ya kujuana na mademu wa mtandaoni
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani hili nalo la kuomba ushauri humu jf??? mpe ya mama yako
Dada umeamka vibaya? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Thanks for the laugh.
 
Hebu njoo inbox, ama mpe no zangu
 
Tumia zoom au zingine, hataona namba yako. Zoom mtatumiana link tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…