Naombeni ushauri,nataka nikatwe mshahara uingie katika akaunti ya akiba

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
11,837
Reaction score
17,412
Nashkuru sana baada ya kupigwa ban nimepata adabu ya kuwaheshimu viongozi wa Jamii Forums.

Naomba mawazo, nina kamshahara kangu napokea kwa mwezi kanapitia NMB sasa nataka kuweka AKIBA kiasi fulani mpaka baada ya miezi ishirini mbele niwe na milion tatu.

Ninachokitaka ni kwamba pesa nikiweka ndo iwe nimeweka nisitoe mpaka kwa muda niliouanisha, na ninachokitaka ni kwamba mshahara ukiingia tu waukate moja kwa moja mpaka kwenye akaunti ya akiba, nimeuliza majuzi NMB wamenambia inawezekana ila hapa nataka nipate data nyingi za ziada.

Sihitaji riba ninachokitaka pesa yangu ile ile ninayoweka ndo niitoe wala hamna tatizo.

Jee hii imekaaje changamoto zake wakuu?

NB : JF kiboko, ukitoka utarudi tu.
 
Hao niliowataja i hope wana salaries zaonaomba wa kuelewa kuhusu hilo kiundani.
 
Pole kwa ban,.naona sasa adabu imekukaa😝
Anyway,.ni jambo zuri kuweka akiba kwa malengo flan',.hiyo pesa utakayokuwa unakatwa kwa miezi hiyo 20 unaiweka kwenye fixed account au?? Na kitu kingine kwa kipindi hicho chote utakachokatwa hiyo salary yako,hiyo asilimia itakayobaki kama take home itakuwa na uwezo wa ku afford maisha yako kwa wakati wote huo??au una chanzo/vyanzo vingine vya mapato ambavyo vita take place Ile asilimia utakayokatwa na bank???

Usije lia njaa humu na kuomba watu wakukopeshe nauli,siku unakuja kupata hiyo 3mil yako unajikuta yooote inaisha kulipia madeni,.😎
 
Mkuu akili imenikaa sawa mana kuna mada tam tam zilikuwa zinanipita naishia kusoma tu,nikaons wacha nirudi na email ingine mana naona waliniblock from the bottom
Pole kwa ban,.naona sasa adabu imekukaa[emoji13]
Anyway,.ni jambo zuri kuweka akiba kwa malengo flan',.hiyo pesa utakayokuwa unakatwa kwa miezi hiyo 20 unaiweka kwenye fixed account au?? Na kitu kingine kwa kipindi hicho chote utakachokatwa hiyo salary yako,hiyo asilimia itakayobaki kama take home itakuwa na uwezo wa ku afford maisha yako kwa wakati wote huo??au una chanzo/vyanzo vingine vya mapato ambavyo vita take place Ile asilimia utakayokatwa na bank???

Usije lia njaa humu na kuomba watu wakukopeshe nauli,siku unakuja kupata hiyo 3mil yako unajikuta yooote inaisha kulipia madeni,.[emoji41]
Sasa hapo kwanza mm bhana mdhaifu wa hayo mambo ya benki,kama hutojadil dada yangu mpenziii ebu nielezee hiyo fixed account ni ipi na ina sifa zipi?

Lakini pia kuhusu kipato naweza kujiendesha bila mkopo kwa sababu ntakatwa kiasi kichache na kingine kitabaki pia nina ka source of income kangine mbali na hicho japo najua mwanzo itakuwa ngumu ila naweza ku afford kwa mda wote huo.

Naam naam
 
Mkuu akili imenikaa sawa mana kuna mada tam tam zilikuwa zinanipita naishia kusoma tu,nikaons wacha nirudi na email ingine mana naona waliniblock from the bottomSasa hapo kwanza mm bhana mdhaifu wa hayo mambo ya benki,kama hutojadil dada yangu mpenziii ebu nielezee hiyo fixed account ni ipi na ina sifa zipi?

Lakini pia kuhusu kipato naweza kujiendesha bila mkopo kwa sababu ntakatwa kiasi kichache na kingine kitabaki pia nina ka source of income kangine mbali na hicho japo najua mwanzo itakuwa ngumu ila naweza ku afford kwa mda wote huo.

Naam naam
Well,.nikushauri tuu urudi tena NMB kwani wanayo fixed deposit account,pale wapo washauri wa hayo mambo watakueleza kinaga ubaga na utapata nafasi ya kuuliza maswali mengi zaidi,.

Ama La!!! Tusubiri wataalam hapa wa masuala ya fedha bila shaka watatusaidia kwa umoja wetu..
 
Ok,ila ungenipa dondoo maana ya fixed account na maana yafixed deposit account,ni zipi.japo kuwa nitaenda huko NMB ila nipe maelezo juu ya hozo tajwa hapo japo kwa ufupi.
Well,.nikushauri tuu urudi tena NMB kwani wanayo fixed deposit account,pale wapo washauri wa hayo mambo watakueleza kinaga ubaga na utapata nafasi ya kuuliza maswali mengi zaidi,.

Ama La!!! Tusubiri wataalam hapa wa masuala ya fedha bila shaka watatusaidia kwa umoja wetu..
 
Well,.nikushauri tuu urudi tena NMB kwani wanayo fixed deposit account,pale wapo washauri wa hayo mambo watakueleza kinaga ubaga na utapata nafasi ya kuuliza maswali mengi zaidi,.

Ama La!!! Tusubiri wataalam hapa wa masuala ya fedha bila shaka watatusaidia kwa umoja wetu..
Fixed deposit unaweka pesa at oncena sio kudunduliza et kila mwezi unaweka elfu 20
 
Pole kwa ban,.naona sasa adabu imekukaa[emoji13]
Anyway,.ni jambo zuri kuweka akiba kwa malengo flan',.hiyo pesa utakayokuwa unakatwa kwa miezi hiyo 20 unaiweka kwenye fixed account au?? Na kitu kingine kwa kipindi hicho chote utakachokatwa hiyo salary yako,hiyo asilimia itakayobaki kama take home itakuwa na uwezo wa ku afford maisha yako kwa wakati wote huo??au una chanzo/vyanzo vingine vya mapato ambavyo vita take place Ile asilimia utakayokatwa na bank???

Usije lia njaa humu na kuomba watu wakukopeshe nauli,siku unakuja kupata hiyo 3mil yako unajikuta yooote inaisha kulipia madeni,.[emoji41]
Naomba shule kuhusu hiyo fixed account

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani naomba uweke maelezo kwa kiswahili ili niyapate vizuri kipi una maanisha.

Umekusudiaje hapo mkuu.
Fungua account nyingine na Ufanye Remittence au uweka standing order. Kwa NMB ni bure
 
Mkuu samahani naomba uweke maelezo kwa kiswahili ili niyapate vizuri kipi una maanisha.

Umekusudiaje hapo mkuu.
Kunakitu kinaitwa Standing order. Ambapo unajaza form bank then unakuwa na acount nyingine benk hiyo hiyo. Baada ya mshara kuingia tu, wanatoa hiyo iyo pesa kwenye account yako na kisha wanaweka kwenye account yako ya pembeni automatically

Remitence

Hii unatakiwa upeleke account yako kwa Muajiri wako kisha yeye ndo atagawanyisha mshahara kiasi fulani kiingie Main account na kiasi kingine kiingie Sub account.
Lakini hii sidhani kama inafaa kwa wanaolipwa na Hazina kama ww ni mfanyakazi wa Serikali.
 
Yap mkuu hapa nimekupata vzuri na nia yangu nifungue hyo ambayo umeielezea kama standing order.sasa nataka kujua kwamba uwekaji wake ni wa mda maalum kwamba kama ni miezi kumi hutoi mpaka ipite hyo miezi?

Na jee vipi kuhusu kukata benki wenyewe hawakati ada ya kuweka pesa kwenye hyo account,yani mfano kila mwsho wa mwezi wakasema wakata 1000 katika akiba yangu,vipi hapo mkuu?

Back
Top Bottom