Naombeni ushauri nataka niwe nawahi kuamka

Huna kazi za kutosha mkuu
Hata nilale saa kumi asubuhi saa kumi na moja nshaamka
 
Sio Moyo mkuu ni Ubongo/Akili.
Kiukwrli mm siwez kulala bila saa nane au tisa na kuamka ni saa2
 
Make sure unalalia kitanda chenye kunguni mkuu
Au atafute dogo anaekojoa sana kitandani awe analala nae, Hapo lazima uamuke [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Just jokes
 
Cha msingi uwe una make sure unalala mapema, pía tafuta shughuli nyingine ya kufanya siku za wiki, maana hata ukisema uwe unaamka Mapema alafu huna cha kufanya utatamani kuendelea kulala tu, cha msingi ongeza mradi mwingine
 
Ni vizuri kujifahamu, either you are a night or morning person.
Pengine ni mtu wa usiku zaidi kwa hiyo unachelewa kulala na kuchelewa kuamka. Na kama ni hivi basi inakuwa ngumu kwako kulala mapema hata kama unapenda.


akipewa appointment ya kula mzigo saa 1 asubui mbona 11 atakuwa macho


hajapata reason ya kuamka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…