Naombeni ushauri ndugu zangu

Mkuu,

Ulikuwa unatuza kumbukumbu za dhambi au mapito yako ili usije kusahau njia zako??

Anyway...tayari umeshavua na huna budi kuingia bafuni...hata kama baridi iko kwenye hasi.....Tulia tu na usubiri kunyolewa kama hicho kidesa kimemfikia Afande Shimbo!

Babu DC!!
 

Nakubaliana na wewe kabisa...Yaani huwezi kufanya uzinzi wazi wazi halafu ukatembea kifua mbele kwa kujiamini mbele za watu. Lakini ukikwapua ma-EPA kibao watu wanakushangilia na ukipatwa na mafua tu watakulia kama wananchi wa Igunga!
 
Haya Nguli endelea kuchora dhambi zako, sasa ukishaungama unauharibu ushahidi ama unaendelea kuwa nao?
 
Haya Nguli endelea kuchora dhambi zako, sasa ukishaungama unauharibu ushahidi ama unaendelea kuwa nao?

Nadhani anaweka kwenye file....Kwani aharibu document nyeti kama hiyo?
 
Wewe! Hivi hata kusinzia uwa unasinzia kweli??? Sasa unapokuwa unaziandika hizo dhambi unakuwa na amani kweli ama ndo kila saa unakuwa unaziwaza tu!! Mbona unajinyima amani ya roho na hivyo vikaratasi vyako? Mbona unaishi maisha ya kujihukumu hivo!! Pole sana braza ila nakushauri utubu kwa dhati na Mungu wako atakuona, coz yeye anajua hata ulichokuwa umekiandika kwenye karatasi. Halafu, I can say kwamba bado unazikumbuka hizo dhambi na ni dhahiri kuwa kuna hiyo/hizo ambazo ukizifikiria zinakuumiza kichwa zaidi thats why unahofia zisionwe! Chagua msamaha wa Mungu na sio kikaratasi na badala ya kuandika ni vizuri zaidi ukawa unatubu kwani hakuna aijuae kesho isipokuwa Mungu peke yake!
 
Akifanya hivyo basi bila shaka maisha yake yatakuwa ni ya wasiwasi sana.

Kama haweki kwenye file kwa nini anatunza kwa maandishi? Na atakuwa anatunza kwa muda gani?
 
Unaweza kuta alieokota anakucheke kimoyo moyo
jinsi dhabi zako zilivyo za kitoto....

Huku yeye zake ni kubwa mno lol
suppose ni mkeo lol
hahahahaa anamwangalia na kumuona huyu vipi?
yaani hutu ndio ameona tu dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…