Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 200 Jul 22, 2012 #41 The Boss said: duh pole saana kwani talaka unaionaje? otherwise subiri gonjwa.... Click to expand... weka mgomo wa kumpa tunda ndani, tafuta mtu nje huko nawe awe anakutungua,uhusiano wenu ubaki kwenye kulea watoto na majukumu mengine ya nyumbani
The Boss said: duh pole saana kwani talaka unaionaje? otherwise subiri gonjwa.... Click to expand... weka mgomo wa kumpa tunda ndani, tafuta mtu nje huko nawe awe anakutungua,uhusiano wenu ubaki kwenye kulea watoto na majukumu mengine ya nyumbani
F Fimbo ya Musa Member Joined Jul 21, 2012 Posts 94 Reaction score 13 Jul 22, 2012 #42 Sikiliza dada yangu,hakuna namna ya kusolve tatizo lako hilo zaidi ya kuendelea kuwa mvumilivu huku ukimwomba Mungu. We usimfanyie visa vyovyote bali zidisha mapenzi kwake naye atabadilika tu. Kuachana sio solution nakwambia.
Sikiliza dada yangu,hakuna namna ya kusolve tatizo lako hilo zaidi ya kuendelea kuwa mvumilivu huku ukimwomba Mungu. We usimfanyie visa vyovyote bali zidisha mapenzi kwake naye atabadilika tu. Kuachana sio solution nakwambia.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Jul 22, 2012 #43 khaaaaaaaaaa!!!!!! Kama unajipenda na kujithamini, unawapenda wanao na kujithamini..... Ondoka hapo haraka sana, huyo mwanaume chovyachovya hakufai....
khaaaaaaaaaa!!!!!! Kama unajipenda na kujithamini, unawapenda wanao na kujithamini..... Ondoka hapo haraka sana, huyo mwanaume chovyachovya hakufai....