Jamani..naombeni ushauri wenu..nichukue engineering gani..nimemaliza form six..na kwasasa ndo tunajaza kozi na vyuo vya kusomea..naombeni mniambie nichukue engineering gani kati ya hizo na nikasomee chuo gani..Nimepata Div 3 ya 13 Phys: D Chem:B Math:C..thanks