Naombeni ushauri nikasome nini chuo

daniel danya

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
71
Reaction score
2
Ni facult gani za sayansi nzuri kusoma chuo, kwa mtu wa CBG na PCB ambazo ajira ake ni rahisi kupata na zina mshahara mzuri???? Naombeni rafiki zangu mnisaidie kabla ya tareh 29 ili applctn tujue zinakaaje plzzzzz
 
Ni facult gani Nzuri kusoma.chuo kwa kwa mtu alie soma CBG au PCB kwa upande wa facult za science...... ni degree lakini naombeni mnisaidie coz hadi sahizi tunashindwa kufanya maamuz sahihi....
Facult iwe rahisi kupata kazi na mshahara wake uwe ni mzuri plz nitafurahi ukinitajia kama tano hivi plz rafk zangu naombeni msaada wenu
 
Kablaa ya kufanya app huwa napenda nipate ushaauri so naombeni msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…