Naombeni ushauri, Nimejitahidi sana kuwa na moustache bila mafanikio

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF

Hamjamboni?

Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio.

Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya kuwa na masharubu Urefu wangu ni ni futi 6 na uzito wa kg 92 nikiwa na rangi nyeusi.

Kwa heshima kubwa naombeni ushauri wenu.

Aksanteni sana
 
Duh, pole, mwonekano wa mwili hutengenezwa na vinasaba ambavyo hurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, kama kwenye vinasaba vyako ulivyorithi kutoka kwa wazazi wako hakuna kinachoweza kuleta mwonekano huo, ni vigumu, huo ndio uelewa wangu nikirejelea somo la genetics na heredity sijui ilikuwa kidato cha nne kama sijasahau
 
Wadau wa JF

Hamjamboni?

Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio

Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya kuwa na masharubu
Urefu wangu ni ni futi 6 na uzito wa kg 92 nikiwa na rangi nyeusi

Kwa heshima kubwa naombeni ushauri wenu

Aksanteni sana
Dah, Wengine yanatukera yalivyokuwa mengi hayo masharafa
 
Wazungu waliamini mustache huwapata MATAJIRI na ilikuwa kama Kweli
 
Wadau wa JF

Hamjamboni?

Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio.

Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya kuwa na masharubu Urefu wangu ni ni futi 6 na uzito wa kg 92 nikiwa na rangi nyeusi.

Kwa heshima kubwa naombeni ushauri wenu.

Aksanteni sana
Mambo ya Walawi 19:27 Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu.
 
Wadau wa JF

Hamjamboni?

Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio.

Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya kuwa na masharubu Urefu wangu ni ni futi 6 na uzito wa kg 92 nikiwa na rangi nyeusi.

Kwa heshima kubwa naombeni ushauri wenu.

Aksanteni sana
Nenda Kaole.Wanaweza kukushauri maana waigizaji wana namna nyingi ya kubandika nywele za mahali popote.
 
Wadau wa JF

Hamjamboni?

Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio.

Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya kuwa na masharubu Urefu wangu ni ni futi 6 na uzito wa kg 92 nikiwa na rangi nyeusi.

Kwa heshima kubwa naombeni ushauri wenu.

Aksanteni sana
Mkuu ungeweka picha ingekua powaa....tukapata pa kuanzia....
 
Dunia ina mambo, vile me sipendi kiwa na hii makitu eti kuna mtu anatamani. Bro hata ukiwa nayo haya kama huna mvuto huna tu.

Tafuta hela hizo sharubu zinajiotea zenyewe tu
 
Wadau wa JF

Hamjamboni?

Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio.

Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya kuwa na masharubu Urefu wangu ni ni futi 6 na uzito wa kg 92 nikiwa na rangi nyeusi.

Kwa heshima kubwa naombeni ushauri wenu.

Aksanteni sana
Una umri gani?
 
Nyowa hapo kwenye huo mustachi nywele zitakuja, na kama upo Dar au palipo na maduka ya SH Amon nenda dukani huwa wana madaktari wa ngozi watakushauri ununuwe mafuta gani ya kupaka hapo kwenye mustachi nywele lazima zije.

Kupumbuka Wyne Roon alikuwa na uwalaza sasa kipara kimeota nywele.
Matola nimeku pm.
 
Back
Top Bottom