Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Habari za jioni wakuu na wajasiriamali wa jukwaa hili la Biashara,uchumi na ujasiriamali!
Awali ya yote nimepata tenda Fulani ya kupeleka chakula mgodi Fulani ambapo nimeambiwa kama niko tayari huyo mtu anipeleke kwa meneja anipangie siku ya kuwa napeleka kwa kulingana na ratiba,uwezo wangu na aina ya chakula nitakachoweza kuwapelekea!.
Naomba kusaidiwa ushauri,uzoefu na uhakika wa hiyo kitu kama kweli inawezekana na je inaweza kuwa na faida????
Itapendeza zaidi kwa wale wazoefu wa migodini.
Asante naomba kuwasilisha.