Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Kwa nini mkuu!Nasikia harufu ya mtu kupigwa hapaππ
Unalipwa na managerFaida ni nzuri mkuu
Ungenieleza unafanya kwa mtindo gani?
Je kila mfanyakazi ananunua kwa kujitegemea au wewe unapeleka unalipwa na meneja?