Naombeni ushauri, nina milioni 2, nifanye biashara gani?

Naombeni ushauri, nina milioni 2, nifanye biashara gani?

Dar es SALAMA

Kuwamakini kutokutoa anuani ya makazi yako, unapofanya kazi pia.

Hakikusha unapokea ushauri jukwaani. usiamini wapm wakitaka kukusukuma, kama ni wawazi na sio matapeli wangekushauru humu jukwaaani.

Pia pitia kuna nyuzi zina ushauri mwingi wa kuanzisha biashara, pia iwe kitu unapenda fanya sio kufata mkumbo.
 
Well said kaka. Biashara ua sio swala la fulani amefanya ika mtoa na mimi itanitoa. Nop, ni combination ya hoby yako plus location ya biashara. Na mungu. Just tulia af jiulize unapenda nini afa utafte location utatoka
 
Angalia Uzi ametoa bwana sijui bibi Stunter ametoa orodha kadhaa wa kadha biashara mtu unaweza chagua na kulingana na mtaji ulio nao.
 
Well said kaka. Biashara ua sio swala la fulani amefanya ika mtoa na mimi itanitoa. Nop, ni combination ya hoby yako plus location ya biashara. Na mungu. Just tulia af jiulize unapenda nini afa utafte location utatoka
Asee nipe Namba nikutumie ela ya vocha, umeongea kitu cha msingi Sana kama tuliwaza wote vile[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Asantee saanaAnayehitaji ushari wa kibiashara kuanzia 50,000+ anichek 0719808376
 
Back
Top Bottom