upo mkoa ganNahitaji kuwa mjasiria Mali !! Nina milioni 2 je nifanye biashara gani?
Dar es SALAMA
Asee nipe Namba nikutumie ela ya vocha, umeongea kitu cha msingi Sana kama tuliwaza wote vile[emoji120] [emoji120] [emoji120]Well said kaka. Biashara ua sio swala la fulani amefanya ika mtoa na mimi itanitoa. Nop, ni combination ya hoby yako plus location ya biashara. Na mungu. Just tulia af jiulize unapenda nini afa utafte location utatoka