Naombeni ushauri nipo njia panda

Kimini ulichovaa tu mchumba wa MTU ni kuchumba tu

Uolewe Mara ngapi ulishapigwa bao na mtoto unaye . mahari ushalipiwa wazazi wakabariki ukajifungulie ukweni kama unaenda kwenu ni kusalimia tu

Labda wamepata mume mwingine ukienda naye akakipe mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichukulie JF serious kiasi hicho....sio kila picha ni mhusika....na je hata kama ni mimi kama mchumba amebariki hilo vazi kuna tatizo?? Ukiwa mchukba wa mtu inabidi uvae madera tuu?? usifanye maisha yawe magumu kihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK kumbe hata inshu kumbe siyo serious hàihitaji ushauri serious


Nenda kwenu atakufuata na kikubembeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichaga mahari ni ndoka kabsa wakitaka urudi kwenu inabidi mrudishe mahari kwanza na kwa wachaga kama kweli utaondoka ujue hawatakufuata tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini siku wanayotoa mahari walisema tunamuazima akajifungue kwa mkwe wake...walipoulizwa je anaenda moja kwa moja wakasema hapana. Basi wangekuwa wawazi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your in a thin line between becoming single mother or becoming a married wife...
But nna maswali machache naomba kuuliza..
1. Umeajiriwa au una namna ambayo unapata kipato nje ya hela za mwenza wako?
2.Uhusiano kati yako na mkweo ukoje(Poor, Fair or Best).
3.Uhusiano wako na mwenza wako ukoje kwa maana (Mnapendana kwel au Bora kukuche)
4.Mahusiano ya Mwenza wako na familia yako yakoje(Poor, Fair or Best).
5. Kipato cha familia zenu (wewe na mwenza wako) kikoje
Ukisaidia hayo naweza kushauri kitu.
 
Kwani tunaongelea ishu au mavazi na picha unazosemea wewe hata hivyo asante kwa ushauri umepokelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ukienda kuomba ushauri mshauri anangalia vyote cha kwanza ni physical appearance time uliyoenda na baadae jambo lokupeleka

Unaweza bakwa hivi hivi umeenda kuomba ushauri bila kujicheck kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya namna wazazi wa pande mbili wakutane na kukubaliana kwa pamoja.
 
Ninyi wabena wa wapi mnaopenda mpaka harusi. Mpilushe sendi nza vanu nde visaha uhupiliha uhwenyo. Mimi najua jamaa kalipa mahari kashamaliza harusi ni mbwembwe zingine. Unye mlivabena wa whiya . Kilichobaki ni kubariki ndoa endapo mtapata hela . Mmeshapakuana mpaka mkapata mtoto . We mbena ebu jifikirie Kwanza. Angalia uwezoni wa mume wako kama anauwezo wa hiyo ndoa kwasasa. Ningekuwa Mimi ningeomba wazazi wako wanirudishie pesa zangu nifanyie masuala Mengine. Jiandae kuwa single mother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka ukienda kuomba ushauri mshauri anangalia vyote cha kwanza ni physical appearance time uliyoenda na baadae jambo lokupeleka

Unaweza bakwa hivi hivi umeenda kuomba ushauri bila kujicheck kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo wewe unaangalia PA kupitia picha ya jamii forum je kila mtu humu anatumia jina na dp yake halali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuata utaratibu wa imani yangu bado hujawa mke na unatakiwa hurudi nyumbani ila kimila wewe ni mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni imani tu lakini hakuna maandiko yanayosema mwanamke akishatolewa mahali lazima afunge ndoa kanisani. Na wala biblia nzima hakuna mtume au nabii aliyewahi kufungishwa ndoa kanisani. Ukishamaliza kuelewana na wazazi na ukatoa mahali inakuwa ni mkeo halali kwa mujibu wa maandiko. Haya masuala ya sijui kufunga ndoa kanisani ni kanuni za kanisa tu. Alafu wanaanza kututisha eti kama hujafunga ndoa unazini tu, watuoneshe mandiko! Mbaaaf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Sijaajiliwa bado nimemaliza chuo december nipo katika kutafuta ajir
2. Naweza nikasema ni poor kwa experience yangu mimi nilivyoishi nae
3. Tunapendana sana na tunajitahidi kufight mahusiano yetu sana tuu
4. Poor sababu mwenza wangu hana hata mawasiliano na familia yangu toka wametoa mahari na wanamshangaa sana kuhusu hilo
5. Kipato ni cha kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mami kwanza mshukuru Mungu, kumpata mwanaume na familia yake wanakujali, wewe ni mke wa mtu msikilize mumeo, mama mueleze atakuelewa kuanzisha chokochoko saa hizi na wewe upo kwenye uzazi si njema na ndoa bado si njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…