Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu na vifaa.
Yaani ni nchi gani bora kitabibu kati ya hizo?
Naomba mnishauri wakuu.