uliposifiki 99
Member
- Nov 14, 2011
- 36
- 1
rafiki yako na binamu yake wana laana!!!!!!!!!!!Jamani wana jf naombeni ushauri kuna rafiki yangu alikuwa ana mchumba wake yaan gf ila huyo gf wake alikuwa ni binamu yake na wote walikuwa wanalitambua hlo ila sasa mshkaji akaona bora amuache maana umri unakwenda na anajua hataweza kumuoa maana ni binamu yake ila sasa huyo binti eti hataki anataka waendelee na mahusiano na umri wa bint ni 22yrs !sasa mshkaj anaomba ushauri amfanyaje maana hata bint mwenyewe hata kufanya kitu chochote hatak mpaka jamaa amrudie
duh...aibu!!!!!
yee aendelee kuwa hawara yake tuu kwani alishaonja asali na demu ndio kanogewa
ila mabinam wanaweza kuoa na kwa baadhi ya makabila
Wameshavunja amri ya sita ndo wanataka kuachana. Anamuachia nani makumbo yake? Wambie waendelee mpaka wafunge ndo.
amtafutie huyo msichana bwana kuachwa mpweke mbaya