Naombeni ushauri tafadhali mume wa mtu kanidatisha

Amekudatisha ki vip? Weka maelezo kidogo
 
Mshirikishe Mungu atakuonesha wako dia...mme wa mtu utajificha nae mpaka lini? Ukibeba mme wa mtu...na ww siku ukiolewa watakubebea wako!!
ni kwel namwomba sana ila wat if mungu kanipangia huyu
 
Subiri uingizwe chupa ya tako ndo utafanya maamuzi magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…