Naombeni ushauri tafadhali mume wa mtu kanidatisha

kuna msemo unasema "mume wa mwenzio ni wakwako pia" kwa hiyo hamna shida we kamatia fursa
 
Mume wa mtu kama ni sumu ya nini kununua sumu ya kutegea panya.
 
Majibu yako yanaonesha umeshafanya maamuzi ila huku unataka kuona msimamo wako upo sahihi?Katika chunguza yangu nimefanikiwa kugundua kuwa mwanamke huumizwa sana na kumpoteza mume wake ama katika mapenzi au kifo maumivu yake yanauma mno tofauti na kumpoteza baba au mama yake uliza utapata majibu.Huyo mwanaume wewe unaiba yupo ambaye anakuibia wewe pia hapo mnamwibia mwenye haki yake pia maandiko yanasema alichokiunganisha mungu hakuna wa kukitenganisha huyo mwanaume alisha unganishwa na mkewe acha kujifariji kijinga huyo si wako muogope mungu dada.
 
najitaidi pia niombee nimwache
 
Nafkiri hii thread yako ni kwaajili ya kutafuta attention tu, vinginevyo basi akili yako haitakuwa vizuri. Wanaume ni wengi tu wanaoweza kukufikisha kilelen pia, na kufika pia kunahusiana na mindset achilia mbali utundu wa mwenzako.
Huyo si wako tafadhali Mwache, Mungu pia hadhiakiwi bora uache kuomba kabisa kulikon uombe ukiwa umemshikilia mtu wa mwenzako
 
Kutembea na mume wa mtu ni kujishusha daraja(class)
Yani unakuwa daraja la pili la wanawake ambapo hufai kuwa mke wa kwanza wa mtu
unastahili uwe mke wa pili coz tayari unaweza kuvumilia mwenzio akiwa na mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…