Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures (epilepsy). .
Daktari alinipa dawa akaniambia bayana kuwa haitibu ila inapunguza kasi ya kuanguka na kupoteza fahamu..
Pia alisema dawa ina madhara itamfanya mtoto asiwe na kumbu kumbu nzuri ..
Naomba wataalam wetu humu mnisaidie kujua tiba sahihi ya huu ugonjwa kama ipo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..
Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures (epilepsy).
Daktari alinipa dawa akaniambia bayana kuwa haitibu ila inapunguza kasi ya kuanguka na kupoteza fahamu. Pia alisema dawa ina madhara itamfanya mtoto asiwe na kumbu kumbu nzuri. Naomba wataalam wetu humu mnisaidie kujua tiba sahihi ya huu ugonjwa kama ipo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..
Mkuu Muyagha ukikosa dawa ya kumtibu mtoto wako unione mimi wasiliana na mimi bonyeza hapa.MawasilianoWakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures (epilepsy).