steve_MOMO
Member
- Jun 21, 2019
- 44
- 11
Kiukweli demu wangu ana tatizo la tumbo kumuuma mara kwa mara na hii ni tangu tufanye mapenzi. Anadai tumbo linamuuma na sasa ana wiki moja tangu hapo tumbo linamuuma tu anadai hawezi tumia dawa bila kujua nini tatizo
Nimeona nije kuomba ushauri wenu kwanza kabla sijampeleka hospitali kupima. Kama kuna madaktari humu pls naombeni ushauri.
Asante
Nimeona nije kuomba ushauri wenu kwanza kabla sijampeleka hospitali kupima. Kama kuna madaktari humu pls naombeni ushauri.
Asante