steve_MOMO
Member
- Jun 21, 2019
- 44
- 11
[emoji23][emoji23][emoji23]nipe huwo huwoKwakweli Sina USHAULI labda ungeomba ushauri.
Kwakweli ushauri huwo huwo Sina, labda ungetaka ushauri huo huo.[emoji23][emoji23][emoji23]nipe huwo huwo
Broo kama imeshndikana BC tufanye kama hakija tokea ktu ndugu yangu mana naona usha kuwa baba mzazKwakweli ushauri huwo huwo Sina, labda ungetaka ushauri huo huo.
Hivi kwa nini umeanza ngono ktk umri mdogo hivo?Broo kama imeshndikana BC tufanye kama hakija tokea ktu ndugu yangu mana naona usha kuwa baba mzaz
mm sina ushauli kwa kweli ila nina ushauri kwako concentrate kwenye masomo yakoKiukwel demu wangu ana tatzo latumbo kumuuma mala kwa mala na hii nitangu tufanye mapenz mm na yy anadai tumbo linamuuma na ss ana wiki moja tangu hapo tumbo lina muuma tu aana dai hawez tumia dawa bila kujuwa nn tatizo
So nimeona nije kuomba ushauli wenu kwanza kabra sijampeleka hospital kupma kama kuna madoktar humu pls naombeni ushauli pls ushauli wenu people mwenye ufahamu kuhusu hili
Musitukane tu jamani nawaomba#
Asante
Namba (1) naona ingenifaa zaid mkuu!Mkuu labda unaomba ushauri wa nini?
1. Umpeleke hosiptali au usimpeleke?
2. Unataka kujua kinachomsumbua?
3. Unahisi unaibiwa kwamba huyo dem haumwi??
*kuwa specific unataka ushauri juu ya nini
Thanks mkuu)!mm sina ushauli kwa kweli ila nina ushauri kwako concentrate kwenye masomo yako
Chief Afya ya mtu ni muhimu sana...Namba (1) naona ingenifaa zaid mkuu!
Duh!Tutumie picha yake tuone namna kukushauri
Asante sana kwa ushaur wako and god bless u mkuu!)Chief Afya ya mtu ni muhimu sana...
Kesho akifa unaweza kuanza unafiki wa kutoa milioni msibani wakati ulikua na uwezo wa kutoa elf 10 na ikamponya...
Fanya umpeleke tena itakuwa vizuri ukimsindikiza wewe mwenyewe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh! Huwenda ukawa ni nabii ww ulijuwaje kaka!Nenda hospital mkuu humu utapata ushuli lakini mwisho lazima uende tuu