Nina mpenziwangu tuna miaka 4,tunapendana sana ila tatizo linakuja kwenye mambo yetu yale mpenzi wangu amejaliwa muonekano mzuri sana,mrefu na afya njema ila jamani tatizo tukiwa faragha,uume wake hausimami hata kidogo na sijawahi kuenjoy tendo kutokana na yeye kushindwa kusimamisha.
Tukiwa pamoja kila mtu anaonekana mwenye hisia zilizopitiliza ila tukijaribu tu kuanza,mambo hayaendi kama yalivyoonekana hapo awali muda mwingi anatamani nifurahi anajitahidi kunifanyia yote mpaka naridhika kiukweli.
Ila kinachoniumiza ni kwamba yeye hajawahi kuridhka na akafurahijambo linaloniumiza sana mwenzenu nampenda mpenzi wangu kuliko kawaida,naombeni mnisaidie chakufanya ili uume wake uweze kusimama na hatimaye aweze kufurahi kama wengne.
Hadi sasa tuna mpango wa kuoana na anapenda sana kuwa na mtoto ila akiwaza kuhusu hali yake anatamani hata asioe kabisa yani anakosa amani naomba mwenye kufahamu namna ya kulitatua hili tatizo tafadhali anisaidie.