Naombeni ushauri:Uume wake hausimami hata kidogo na sijawahi kufurahia tendo kutokana na yeye kushindwa kusimamisha.

kiwasita

Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Nina mpenziwangu tuna miaka 4,tunapendana sana ila tatizo linakuja kwenye mambo yetu yale mpenzi wangu amejaliwa muonekano mzuri sana,mrefu na afya njema ila jamani tatizo tukiwa faragha,uume wake hausimami hata kidogo na sijawahi kuenjoy tendo kutokana na yeye kushindwa kusimamisha.

Tukiwa pamoja kila mtu anaonekana mwenye hisia zilizopitiliza ila tukijaribu tu kuanza,mambo hayaendi kama yalivyoonekana hapo awali muda mwingi anatamani nifurahi anajitahidi kunifanyia yote mpaka naridhika kiukweli.

Ila kinachoniumiza ni kwamba yeye hajawahi kuridhka na akafurahijambo linaloniumiza sana mwenzenu nampenda mpenzi wangu kuliko kawaida,naombeni mnisaidie chakufanya ili uume wake uweze kusimama na hatimaye aweze kufurahi kama wengne.

Hadi sasa tuna mpango wa kuoana na anapenda sana kuwa na mtoto ila akiwaza kuhusu hali yake anatamani hata asioe kabisa yani anakosa amani naomba mwenye kufahamu namna ya kulitatua hili tatizo tafadhali anisaidie.
 
Kwanini usimshauri aende hosptali huko atapata wataalamu zaidi loh pole kwa kukosa kitu roho inapenda.
 
Mkishafunga tu ndo huyo na ukamwita mume badala ya mpenzi nakuahidi atasimamisha na atakukimbiza mwendo wa Ferari lakini kwa sasa hivi kwa kuwa mnatenda dhambi haitasimama kamwe
 
Sakata!
je? kabla hamjaingia katika mahusiano ilo tatizo alikua nalo au limejitokeze baada ya nyie kua katika mahusiano.
 
hujawai ku enjoy na huku unaridhika kiukweli jamaa mrefu na mwembamba size ya uume wake inawezekana kua mkubwa so, na mara nyingi watu wenye maumbile makubwa huwa wana hiyo shida tofauti na wenye maumbile madogo.

Pia usihofu mtoto mtapata kwasababu kuto kusimamisha kama wewe utakavyo sio kigezo cha kuto kua na uwezo wa kutungisha mimba , labda kuwe na case nyingine hapo, cha msingi jamaa, ajitahidi aamkapo hasubuhi awe ana kama anazui haja kubwa kutoka @least nusu saa kwa mda wa wiki.

Pia anywe tangawizi na asali pasipo kujihusisha na hiyo mambo kwa mda kidogo then, pia ahakikishe hana homa, na kipindi mnajiandaa ahakikishe akili yake ipo hapo sio huko kwingine then utauona moto wake siku mkipiga game cha
 
Kwanini usimshauri aende hosptal ? Huko atapata wataalam zaidi !! Loh pole kwa kukosa kitu roho inapenda!!

ngoja wakina mwanafulani hapa watamuambia amuunganishe na MziziMkavu au aende kwa babu tanga looo kama hana jini mahaba we ngoja tu watakuja
 
Last edited by a moderator:
Jamaa na wewe toka mmezaliwa hamjawahi kushiriki kufanya mapenzi yaani nyie wote ni ma bikra Kama ni hivyo ni hofu ndio inasababisha hayo, nakukumbuka mie mwenye before sijawahi kushiriki kabisa nilikua hivyo kama huyo mpenzi wako ilinichukua kama miaka mitatu kuja kupiga mzigo kozi na sie sote tulikua mabikra


wote ndo uhusiano wa kwanza huu
 

Daaa nilishawahi pata kijana bikraaaa imba nyimbo zote,toa unyago wote fanyaaaa yote hapo mie sie bikra atiii hangaikaaa wee mashetani yamepanda yanatakiwa yapungwe athuman mrefu bado kalala eeee kuja kugundua dogo anajimasturbate bafuni eti kunanihii anaogopa hiyo ndo ilikuwa talaka yake Hakajaniona tenaaa wanaume bikra wanaboa bibie mleta mada ushauri ntakaokupa mbaya bora nikae kimya
 
Miaka yote minne uume wake haujasimama?

Mmmmh

Mwambie akuambie ukweli
 
kiwasita bikra sasa si unajua mabikra wana soni usoni hayo sijui achezee nini hawezi bana mpe ushauri,mwingine
Hata kama ni Bikra hawezi kulichezea Dushelele la Mpenzi wake mpaka likasimama na kufanya kazi? Kwa hilo

pia aambiwe ahhhhhh? Anataka ushauri wa aina gani zaidi ya huo niliompa huyo Bikra wako.@kiwasita ? Kama hata akilisha hilo

Dushelele na halisimam basi huyo Mwanamme wake atakuwa na matatizo ya Upungufu wa nguvu za kiume au alikuwa anapiga Punyeto

Bibie Kiwasita ajaribu kumuuliza mpenzi wake hilo swali aliwahi kupiga Punyeto? kama aliwahi kupiga punyeto ndio inasababisha

Dushelele lake lisisimame na anaweza kupata Dawa ya kusimamisha hilo Dushelele lake atembelee hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Mwanaume bikira sio kabisa, miaka minne mie nilidhani siku nne.
 
hauku mtendea haki kabisa mie bora mie na mwenzangu sote tulikua mabikra, so kulikua hakuna wa kumcheka mwenzake Baadae nilioteaga nakapiga mzigo, toke hapo nikawa moto wa kuotea mbali but now mwili umekataa tumeisha kua kama waze

 
Hospital zipo ila msiende kwa Dr. Miti shamba..
 
Hospital zipo ila msiende kwa Dr. Miti shamba..

swali ni kwamba miaka 4 yote hiyo wanafanyana nini?na kwa nini kaombe mushaurii kisha kakimbia??Afu miaka yoteeee uboifrendi tu wenyewe mabikra mpaka sasa na bibie anadai yeye bikra mshedede wa mjamaa hausimami yeye anaridhishwa?sasa anaridhishwaje na yeye bikra? Aaaaaaaaaaaaaaa
 
hilo nalo jambo ha ha ha ma bikra wote wasitutanie.
 
Kumtia Kidole kwenye Tundu ya Haja kubwa mimi huo ushauri Sikubaliani nao. Afanye hivi Achukuwe Punje 1 ya

Kitunguu Saumu akiponde ponde kisha amuwekee bwana wake kwenye hiyo Tundu ya haja kubwa ahakikishe imeingia

ndani kabisa. Basi hilo Dushelele lake litasimama hata kama ni shoga utamwisha siku hiyo huo ushoga kama wewe una

Mpenzi wako ana matatizo ya kuto simama Dushelele lake jaribu hiyo Dawa kisha uje hapa unipe Feedback.
 
hivi mtu anampendaje mpenzi wake kuliko kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…