Naombeni ushauri:Uume wake hausimami hata kidogo na sijawahi kufurahia tendo kutokana na yeye kushindwa kusimamisha.


kaka hizi dawa zako unataka jamaa achezewe puru mwambie huyu mwanamke amwambie mumewe ajitie mwenyewe hicho kitunguu swaumu asije harisha tu!!!
 
kaka hizi dawa zako??? Unataka jamaa achezewe puru...mwambie huyu mwanamke amwambie mumewe ajitie mwenyewe hicho kitunguu swaumu...asije harisha tu!!!
Mkuu Kitunguu Saumu ni Dawa nzuri kwa

kila maradhi mimi Kitunguu Saumu ninakiita kwa jina la Kiingereza ( Antibiotics) kinatibu na kukinga kila maradhi. Kitunguu

Saumu punje moja ukikiponda ponda kitoe maji kidogo kisha ukijitia kwenye sehemu ya haja kubwa kiingie mpaka ndani

kabla hujafanya hujafanya mapenzi Sex kitakusaidia kufunguwa

Mishipa iliyolala ya nguvu zako za Kiume. Mishipa ya nguvu za kiume ipo kwenye kiuno chako kwa dawa yangu ya kitunguu

Saumu ukiweka kwenye tundu ya haja kubwa kwa ndani kitunguu saumu kinakwendakuipa nguvu mishipa yako ya nguvu

zakiume na unakuwa na nguvu za ajabu jaribu kisha uje hapa unipe feedback mimi MziziMkavu.




Mkuu laiti ungelijuwa Faida ya kitunguu saumu basi ninakwambia ungekuwa wewe kila siku unakula punje moja na hautaumwa kabisa ukiweza kila siku kula punje moja ya kitunguu saumu.
 

tobaaaaaa we MziziMkavu unataka bikra kidawa ashushiwe mingumi weeee mi najua dawa za kuingiza haja kubwa ni za watoto chini ya miaka 5 wasioweza/wasumbufu kumeza dawa ila mtu mkubwa kusukomozewa huko madawa mhhhh tena vitunguu swaumu mhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
tobaaaaaa we MziziMkavu unataka bikra kidawa ashushiwe mingumi weeee mi najua dawa za kuingiza haja kubwa ni za watoto chini ya miaka 5 wasioweza/wasumbufu kumeza dawa ila mtu mkubwa kusukomozewa huko madawa mhhhh tena vitunguu swaumu mhhhhhhhhhhh
Anawekwa kitunguu saumu huko nyuma ili dushelele lake lipate kusimama na kufanya kazi ya nguvu sio kwa nia mbaya bibie amu
 
Last edited by a moderator:

dada kiwasita, hivi unajua kwamba mapenzi ni sawa na mchezo wa maigizo?

HISIA ZINAHITAJIKA SANA!!!!!

yawezekana mpenzio wakati wa majamboz huwa anapeleka mawazo yake kwenye biashara zake!!

hilo ni tatizo!!

mwambie arudi muwe wote!!

jaribu kuwa unachezea pumbu zake kwa kuzishika pole pole, zungusha vidole vyako (huku na yeye anajituma!! sio kukaa tu ka gogo!! anyonyepo hata titiz zako), pole poooole kama hutaki, choma choma huku ukiwa kama unasugua mashine yake!

baada ya hapo, mwambie na yeye atumie vidole vyake vya mkono wa kushoto lakini, kukusugua pooole poole kule kunako papuchi!!!


nawaambieni, baada ya hapo nyie vaeni tu charles condom mwendelee na kazi yenu!

usiku mwema!
 
Last edited by a moderator:

Kaka mzizimkavu naheshimu sana maneno yako,ni kweli kitunguuswaumu ni dawa nzuri ila ingekuwa vizuri kama angeitumia kama hatokuwa na options...maana Leo atatiwa punje ya kitunguu kesho asije taka kitunguu kikubwa huyu!!! Vilevile nahofia asije kuwa addicted ikawa gari haliwaki mpaka kitunguu...no kitunguu no erection!!!
Huyu kijana kwasababu hajawahi vunja amri ya 6 basi anasumbuliwa na woga...hivyo ni suala la mindset ambayo watu wengi huwatokea!!!
 
Mungu katuumba kwa mapungufu mbali mbali ndio maana huyo ni mzuri wa muonekano kama unavyo dai lakini anamapungufu hayo so ndoa ni kuvumiliana lakini hapo huna cha kuvumilia piga chini usije juta baadae either anaumwa au kazaliwa hivyo si ridhiki kwako! Japo kuna wadada ukiwazingua huwa wanakufanyia hivyo na wana uwezo wa kurejesha so kama na yeye si ugonjwa wala hajazaliwa hivyo kuwa amerogwa unaweza kumponyesha ila kama ni tatizo la kuzaliwa piga chini utakuja juta!
 
Anawekwa kitunguu saumu huko nyuma ili dushelele lake lipate kusimama na kufanya kazi ya nguvu sio kwa nia mbaya bibie amu

mhhhhhh hiyo yako si sawa bwana haijafika huko kuwekeana mavitunguu afu umemsoma Ponjoro
 
Last edited by a moderator:
mzizimakavu kumchezea uume,kuweka kitunguu au kufanya kitu chochote phyisically sio suluhisho la kuweza kunyanyua uume kwani kunyanyuka kwa uume ni kitu kinachohusisha (mentally) psychology zaidi yani akili , mawazo, na hisia za huyo mwanaume ndo kitu cha msingi... (hata takwimu zinaonesha hivyo kuwa asilimia kubwa ya magonjwa ya upungufu wa nguvu za kiume ni kutokana na psychological problems) kama mawazo yake hayapo kwenye mchezo jua kabisa hata kumnyonya m..----- itakukwa kazi bure au kumchezea huko uume itakuwa sawa tu kumshika mguu au sehem nyingine yeyote ya mwili ambayo haina msisimko cha kumshauri kama kufanya mambo ya kurudisha akili ya jamaa mchezoni na ni kazi ngumu cha msingi wakamuone therapist kwa usahihi zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni wote kwa ushauri wenu,nimeona ushauri mzuri nitaufanyia kazi shukrani ma great thinkers matokeo ya ushauri wenu yakifanikiwa nitawajulisha.
 
Mh ningekuwa mimi si ningemuacha siku nyingi hongera dada kwa uvumilivu.
 
ameathiriwa na punyeto uyo inaelekea kipindi yupo boarding,mwambie aende hospitali
 
5 years now bado unataka ushauri.

2013 - 2018.

[emoji4]
 
Muende hospital wakacheki tatizo nini hospitali kuna wataalam wa masuala ya uzazi na nguvu asitumie dawa kabla ya kujua tatizo mambo yanayosababisha ni mengi sana mtafuteni specialist.
 
Muende hospital wakacheki tatizo nini hospitali kuna wataalam wa masuala ya uzazi na nguvu asitumie dawa kabla ya kujua tatizo mambo yanayosababisha ni mengi sana mtafuteni specialist.

kwa kesi za nguvu zakiume spitali utahangaika tu hupati suluhisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…