Naombeni ushauri:Uume wake hausimami hata kidogo na sijawahi kufurahia tendo kutokana na yeye kushindwa kusimamisha.

Njoo PM nitakusaidia ucwaze
 
Muende hospital wakacheki tatizo nini hospitali kuna wataalam wa masuala ya uzazi na nguvu asitumie dawa kabla ya kujua tatizo mambo yanayosababisha ni mengi sana mtafuteni specialist.
Wanaitwaje hawa watalaam msaidie kwa hilo maana unaweza fika hospitalini ukashindwa Hata kusema lipi kina kusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…