farajamlenga
Member
- Dec 8, 2017
- 46
- 45
Supu ya samaki, uji wa lishe,mchemshowa utumbo changanya na viazi, juis ya karoti,mbogamboga,maziwa ya mtindi,pendelea kunywa maji kwa wingi kutafuna karanga au korosho,mchemsho wa nyama na ndizi bukoba
Pia asisahau kuweka pilipili kiasi huwa inasaidiaSupu ya samaki, uji wa lishe,supu ya utumbo changanya na viazi, juis ya karoti,mbogamboga,maziwa ya mtindi,pendelea kunywa maji kwa wingi kutafuna karanga au korosho,mchemsho wa nyama na ndizi bukoba
Na kama ni chai apendelee pili pili mangaPia asisahau kuweka pilipili kiasi huwa inasaidia