Naombeni ushauri wa biashara ya service bay ninayotaka kuianza hivi

Naombeni ushauri wa biashara ya service bay ninayotaka kuianza hivi

elvis richard

Senior Member
Joined
Dec 6, 2014
Posts
195
Reaction score
207
Ndugu zanguni naombeni ushauri wa biashara ya service bay ninayotaka kuianza hivi karibuni.
KWA KUANZIA NA AIR COMPRESSOR yenye ubora hasa ni ipi ?
1. Vigezo vyake kuanzia ujazo na hp yake pamoja na brand ipi ni nzuri ?

2. Biashara yangu hii nataka kuiweka kwenye sheli moja hapa town. Ninahitaji kuweka huduma gani nyingine mbali na hii huduma ya kujaza upepo ?

3. Vitu gani vinakamilisha huduma ya kujaza upepo in full package? namaanisha Vifaa vinavyokamilisha hiyo compressor !

4. Hii compressor mbali na kujaza upepo na kupiga rangi inafanya kazi gani nyingine. !?

5. Msaada wenu ni wa muhimu sana ndugu zangu, ajira hakuna na ndo tumeamua kujiajiri hivi !
.
.
karibuni kwa mawazo.
TC1402002.jpg
 
Back
Top Bottom