Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Poleni na misukosuko ya maisha ya kila siku. Kila mtu atakufa hata Samia Suhuhu nae ataoza maana ni mwanadamu pia.

Anyway iko hivi, Kuna binti nampenda kupitiliza ila ameniambia wazi kuwa hanitaki, amerudia tena kuwa hanitaki.

Nanukuu "we mkaka nimekwambia sikutakiiii mbona unalazimisha achana na mimi". Mwisho wa nukuu. Jamani ukweli ni kuwa huyu binti Tupo nae mtaa mmoja apa tabata ni mzuri haijawahi tokea ila sijawahi hata kuonja tunda lakini Sasa Kala pesa zangu nyingi sana yani ni zaidi ya laki tano.

Naombeni ushauri wa haraka jamani msilete utani wanajukwaa, nawaaminia saana hiki ni kikosi cha intelligence. Asante
 
Mpe chuma nawewe kula chuma yaishe tu
 
Wewe mgogo acha ushamba,huyo shori humpendi ila kinachokuuma ni vijisenti vyako vya kuuzia nyama alivyokula ndivyo vinavyokuuma...mpotezee na uendelee na maisha mengine.Halafu,upo Dsm wanawake ni wengi kama mchanga wa Coco Beach inajuwaje unaenda kumlilia Malaya!!!!!
 
Back
Top Bottom