Hongera..Maisha yanabadilila broo, hayako Stationary
Si bora kakuambia kua hakutaki kuliko angeku cheat na kukuletea gonjwa lisilo na tiba?Hapana kaka, tatizo nimejihisi dhaifu sana kitendo cha demu kuniambia hanitaki bila kuguguna maneno [emoji22]. Bro inauma brooo
Dah [emoji22]Si bora kakuambia kua hakutaki kuliko angeku cheat na kukuletea gonjwa lisilo na tiba?
Chalii yangu hii roho imeanza lini[emoji38]Kula kwanza ushibe..Kisha jinyonge..
Chalii..Mimi mwenyewe sielewi..ila inakujaga tu baada ya kushiba kandeeChalii yangu hii roho imeanza lini[emoji38]
NisaidieYaani wewe Mpayungu unaanzisha uzi wa kiboya tu lakini unatembea page ya 10 saa hii, ama kweli..
Nisaidie pleaseThis is too childish and strange simultaneously.
Hapana siwezi. Nikosa kisheriaMbake
SindoapoChalii yangu hii roho imeanza lini[emoji38]
Akili hunaChalii..Mimi mwenyewe sielewi..ila inakujaga tu baada ya kushiba kandee
OK dear. Kijana najua unatania haupo serious ila nikuombe kitu kimoja epuka sana kutamka kauli za na nataka kujinyonga au nataka kunywa sumu aiseee akili ni kompyuta imara sana inatunza kumbukumbu blaaaa usishangae maishani mwako ukaja ukajinyonga au ukanywa sumu inachokiitamka kama masiara kinatokea kweli ukiimpa shetani mamlaka ana nguvu mnooo atahakikisha anafanya hivyo kweli kwanza tubu pili hakuna jipya chini ya jua kilichokutokea wewe kwa mwanamke mmoja wengine kisharudia zaidi ya mara mbili na mbona hawakunywa sumu wala kujinyonga use your brain or your brain will use you .
Ungekua na akili usingeliwa pesa na kuwaza kujiua bwege weweAkili huna
AsanteUngekua na akili asingeliwa pesa na kuwaza kujiua bwege wewe