Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

Pole,,, Mwanaume unalilia demu ambaye hakutaki...

Nilisha acha kutoa ushauri kwa watu sampuli yako

Liwalo na liwe tu,,
 
Mamaako kijijin anateseka uko bze kununua dhambi, ndio maana vijana wengi wana laana ila hawajijui. Mama Ako angekpa shukran nyingi utadhan we ndo umemzaa na angeendelea kukuombea mafanikio. We endelea kumfuatilia huyo binti kuna Jambo kubwa like nyuma yako usiache kutuletea hapa.
 
Mkuu umeongea kwa utani lakini binafsi haya maneno yako yameuchoma moyo wangu, ni kweli hii pesa ningewapa wazazi wangu hizo Asante zingetiririka mfululizo sms za SONGESHA.
 
Simp
 
sasa hapa kila mtu atakufa kunahusiana vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…