Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseehh
 
Mkuu laki tano mbona sadaka tu mimi nimetoa juzi kumsaidia mtu ambaye hata sitarajii kukutana naye?

Yani binti kadanga tu, kanikuta mkao wa kutoa sadaka, nikampa matakwa yake kama hadithi ya jini la kusugua taa lile.

Na hapo kuna wengine wawili watu nawajua niliwapiga laki tano tano hivyo hivyo, katika wiki moja tu.

Pesa maua, hasara maisha.

Na hayo mapenzi mbona kuna wengine mamilioni wapo?
 
Basili mtazamo wa maisha
 
Uyu wawapi jamani [emoji35]. Humu jamii forum hutakiwi kutaja identity
 
RiP…
 
Mkuu kama umebakiza kahela kidogo naomba uje Pm tuyajenge nikuuzie jeneza zuri kwa bei nafuu kaka ili hata unapojinyonga usiwaachie mzigo ndugu zako maana hali ngumu mtaani.
Niko seriously mkuu maana hata hapo Dar nina kijiwe changu nawapigia simu fasta nawapa oda yako wanakuletea chap
 
Date, olewa, oa rafiki yakoooo, na aijue vizuri akili yako.
Tatizo nyie mnaangaikia trakooooo na uzuri.
Haya msalimie baba angu bhn yupo hukoooo
RIP Dady...
 
Mkuu inauma. Amini inaumaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…