Naombeni ushauri wa haraka. Mdogo wangu anasumbuliwa na ugojwa wa Lichen planus

kambagasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
2,269
Reaction score
1,803
Kama nilivyoandika hapo juu mdogo wangu ameugua ugojwa wa ngozi akiwa shule. Tumejaribu kuuguza na kumpeleka KCMC na ndipo wakachukua kipande cha nyama ipi kujua tatizo. Matokeo yalipotoka wakamwambia ni ugojwa unaoitwa Lichen planus. Tumepewa dawa anatumia lakini hamna nafuu na mdogo wangu kumbe aliwasiliana na Dr huko KCMC na daktari akamwambia utafuatilia kwenye mitandao!! Mdogo wangu amenishtua baada ya kunitumia sms kuwa amefuatilia na kuona kuwa ugojwa hautibiki[emoji26]. Mengine aliyoyasema siwezi kuyaandika hapa. Yoyote anayehitaji kunishauri anishauri na kama atahitaji picha ya mgojwa tamtumia pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ugonjwa sio serious ila just unakera kuwa nao ko hofu ya kufa naomba nikuondolee
Ila ni kweli hauna tiba ya kudumu ila kuna tiba za kupunguza uharibikaji wa ngozi
Na huyo daktari watu tunakaa kila siku kuzuia watu wasitafute vitu mtandaoni yeye ndo ana encourage

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom