kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,269
- 1,803
Kama nilivyoandika hapo juu mdogo wangu ameugua ugojwa wa ngozi akiwa shule. Tumejaribu kuuguza na kumpeleka KCMC na ndipo wakachukua kipande cha nyama ipi kujua tatizo. Matokeo yalipotoka wakamwambia ni ugojwa unaoitwa Lichen planus. Tumepewa dawa anatumia lakini hamna nafuu na mdogo wangu kumbe aliwasiliana na Dr huko KCMC na daktari akamwambia utafuatilia kwenye mitandao!! Mdogo wangu amenishtua baada ya kunitumia sms kuwa amefuatilia na kuona kuwa ugojwa hautibiki[emoji26]. Mengine aliyoyasema siwezi kuyaandika hapa. Yoyote anayehitaji kunishauri anishauri na kama atahitaji picha ya mgojwa tamtumia pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app