Naombeni ushauri wa jinsi ya kutumaia fursa hii

Naombeni ushauri wa jinsi ya kutumaia fursa hii

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,494
Reaction score
2,540
Nina kiwanja kikubwa chenye ukubwa zaidi ya sqm 1000 Dom maeneo ya msalato. Kiko plain, and few meters kutoka main road.

Kwa Sasa Sina nguvu ya kipesa kufanya project ya ujenzi.

Naombeni ushauri namna bora ya kutumia fursa ya kiwanja cha wazi.

Natanguliza shukrani

Thanks
 
Bado mapema. Watakuja wakupe mwongozo. We subiri

Ila nawaza kama ni karibu na barabara kuna uwezekano ukaingia ubia na makampuni ya simu, hotel au maduka (matajili) wakajenga vyao kisha mkagawana kwa miaka kadhaa mfno asilimia 70 kwa 30. Kwa kipindi fulani hv baada ya muda huo wewe ndio mzee mwenye mwali🥰🥰🥰
 
Bado mapema. Watakuja wakupe mwongozo. We subiri

Ila nawaza kama ni karibu na barabara kuna uwezekano ukaingia ubia na makampuni ya simu, hotel au maduka (matajili) wakajenga vyao kisha mkagawana kwa miaka kadhaa mfno asilimia 70 kwa 30. Kwa kipindi fulani hv baada ya muda huo wewe ndio mzee mwenye mwali[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Asante mkuu
Ngoja tuwasubiri
 
Cha kwanza fanya upelelezi maeneo hayo kiwanja chenye 500 square meters kinauzwa bei gani.
Ukishapata jibu uza nusu ya eneo hiyo pesa utakayopata weka miradi kwenye eneo lililobaki.
Miradi mizuri ni kama biashara ya kuuza matofali,kuweka stoo ya kuuza building materials hautopata shida kwa sababu eneo ni la kwako na pia lipo karibu na barabara.
Na kama muda unakubana hauna nafasi unajenga fremu za kupangisha kila mwezi unakusanya kodi.
 
Nina kiwanja kikubwa chenye ukubwa zaidi ya sqm 1000 Dom maeneo ya msalato. Kiko plain, and few meters kutoka main road.

Kwa Sasa Sina nguvu ya kipesa kufanya project ya ujenzi.

Naombeni ushauri namna bora ya kutumia fursa ya kiwanja cha wazi.

Natanguliza shukrani

Thanks
Nakuja inbox kukupa ushauri
 
Nina kiwanja kikubwa chenye ukubwa zaidi ya sqm 1000 Dom maeneo ya msalato. Kiko plain, and few meters kutoka main road.

Kwa Sasa Sina nguvu ya kipesa kufanya project ya ujenzi.

Naombeni ushauri namna bora ya kutumia fursa ya kiwanja cha wazi.

Natanguliza shukrani

Thanks
Andika proposal ya mradi wa nyumba za kupangisha, fanya estimate/proforma ya annual net income kisha nenda benki pesa ipo.
 
Back
Top Bottom