Asante mkuuBado mapema. Watakuja wakupe mwongozo. We subiri
Ila nawaza kama ni karibu na barabara kuna uwezekano ukaingia ubia na makampuni ya simu, hotel au maduka (matajili) wakajenga vyao kisha mkagawana kwa miaka kadhaa mfno asilimia 70 kwa 30. Kwa kipindi fulani hv baada ya muda huo wewe ndio mzee mwenye mwali[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Nakuja inbox kukupa ushauriNina kiwanja kikubwa chenye ukubwa zaidi ya sqm 1000 Dom maeneo ya msalato. Kiko plain, and few meters kutoka main road.
Kwa Sasa Sina nguvu ya kipesa kufanya project ya ujenzi.
Naombeni ushauri namna bora ya kutumia fursa ya kiwanja cha wazi.
Natanguliza shukrani
Thanks
Andika proposal ya mradi wa nyumba za kupangisha, fanya estimate/proforma ya annual net income kisha nenda benki pesa ipo.Nina kiwanja kikubwa chenye ukubwa zaidi ya sqm 1000 Dom maeneo ya msalato. Kiko plain, and few meters kutoka main road.
Kwa Sasa Sina nguvu ya kipesa kufanya project ya ujenzi.
Naombeni ushauri namna bora ya kutumia fursa ya kiwanja cha wazi.
Natanguliza shukrani
Thanks