Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
ni yatima gharama za mwanasheria ndo tatizo mkuuTafuta mwanasheria msomi awasaidie (ni ushauri wangu lakini mkuu)
Duuh sasa itakuwaje mkuu hapo kwenye haya mambo ya kisheria kwa maana haki inatakiwa itendekeni yatima gharama za mwanasheria ndo tatizo mkuu
Duuh sasa itakuwaje mkuu hapo kwenye haya mambo ya kisheria kwa maana haki inatakiwa itendeke
Poa poa mkuu..ngoja wanasheria waje huenda ukapata msaadanimeleta jukwaani ili wadau wa sheria watoe mawazo yao maana ni watu wengi sana kwenye jamii wakifiwa hii hali huwatokea na kushindwa kupata haki
nini kinapaswa kifanyike inapotokea hali kama hii baada ya mirathi.
- document yaani orijino ya offer ya kupata hati ya kiwanja kutoonekana
- ila copy zipo za hiyo offer na watoto wa marehemu wanataka kuuza hicho kiwanja je? sheria inashauri nini kifanyike kama hawa warithi hawana orijino documents. na wanataka kuuza kiwanja cha urithi
Ndugu, cha kufanya hapo hao warithi (watoto wa marehemu kama ulivyosema) watoe taarifa kutuo cha polisi kuhusu kupotea kwa hizo nyaraka (offer). Baada ya hapo wakatoe tangazo kwenye gazeti la serikali (government gazette) kuhusu upotevu huo. Mwisho baada ya yote hayo waende kwa Msajili wa viwanja awapatia title deed (hati ya kiwanja).
Hapo sasa wataweza uza eneo lao kisheria bila bughdha au mushkeli wowote.
asante sana mkuu. je jina la hati wakati wa mauziano halitaleta shida kwa kua ni jina la mzazi wao marehemu? je huchukua muda gani baada ya kupublish kwenye government gazzette mpaka msajili atakapotoa deed?