JAMALDIN HAJI
Senior Member
- Feb 26, 2013
- 187
- 9
ndugu yangu kahukumiwa tayali.tunataka tukate rufaa.kila tunapo omba nakala ya hukumu,tunaambiwa fail halipo analo hakimu aliye toa hukumu.je wapi naweza peleka malalamiko yangu?kabla ya mda wa rufaa kwisha? Naombeni ushauli wenu wana jf.