J JAMALDIN HAJI Senior Member Joined Feb 26, 2013 Posts 187 Reaction score 9 Sep 2, 2013 #1 ndugu yangu kahukumiwa tayali.tunataka tukate rufaa.kila tunapo omba nakala ya hukumu,tunaambiwa fail halipo analo hakimu aliye toa hukumu.je wapi naweza peleka malalamiko yangu?kabla ya mda wa rufaa kwisha? Naombeni ushauli wenu wana jf.
ndugu yangu kahukumiwa tayali.tunataka tukate rufaa.kila tunapo omba nakala ya hukumu,tunaambiwa fail halipo analo hakimu aliye toa hukumu.je wapi naweza peleka malalamiko yangu?kabla ya mda wa rufaa kwisha? Naombeni ushauli wenu wana jf.
MFYU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 505 Reaction score 69 Sep 16, 2013 #2 ...mara nying..hua kwa msajili ama Magistrate incharge....kama kes ipo mahakama ya mwanzo au ya wilaya....bhas mahal pa kulalamikia...ni Ofis ya hakimu mkazi mfawidh/REsident magistrate incharge..wa eneo unalotokea...
...mara nying..hua kwa msajili ama Magistrate incharge....kama kes ipo mahakama ya mwanzo au ya wilaya....bhas mahal pa kulalamikia...ni Ofis ya hakimu mkazi mfawidh/REsident magistrate incharge..wa eneo unalotokea...