R realG Member Joined Aug 15, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Oct 4, 2012 #1 Nimechaguliwa Sua Rural Development nataka hamia Ifm Tax management je inalipa
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 757 Oct 10, 2012 #2 wakat unachagua ulijua inalipa au hailip....kweli wasomi dizaini yenu ni bomu litakalokuja kulipuka baadae huna ...mission wala vission.. yaani unatka sua kwenda ifm kweli ww kilaza naona unaogopa kudisko semista ya 1.....
wakat unachagua ulijua inalipa au hailip....kweli wasomi dizaini yenu ni bomu litakalokuja kulipuka baadae huna ...mission wala vission.. yaani unatka sua kwenda ifm kweli ww kilaza naona unaogopa kudisko semista ya 1.....
M mkumbo marco New Member Joined Sep 25, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Oct 10, 2012 #3 nakumbuka tcu ulikua unachagua course 8: unaanza na unayoipenda... Inawezekana umechaguliwa sehemu ambayo hutaki ni kweli unaweza badilisha-nenda ifm pata nafasi then watakuelekeza wenyewe usihofu
nakumbuka tcu ulikua unachagua course 8: unaanza na unayoipenda... Inawezekana umechaguliwa sehemu ambayo hutaki ni kweli unaweza badilisha-nenda ifm pata nafasi then watakuelekeza wenyewe usihofu