Kwahiyo usaidiwe list ya maswali ya kumuuliza?
Haya. . . . .
1. Piga namba yake/kutana nae kama amesharudi.
2. Mjulie hali na habari ya safari.
3. Muulize iwapo simu yake anayo yeye.
NDIO (muulize ilikuwaje siku ile ambayo hakuwa akipatikana). . HAPANA(muulize iko wapi/ilikuwa wapi).
4. Kutegemea majibu ya no. 3 muulize iweje simu yake ikapokelewa na mtu mwingine tena mwanaume.
Utetezi wake utasaidia kukuongezea maswali ama kukupa amani.
Sasa mbona unajump kwenye conclusion kaka? Kama huyo bi dada aliibiwa simu je? Kwa hiyo ulivyoambiwa wee nani ukakata simu kwa kuogopa? Fanya uchunguzi kwanza usianze kupagawa mapema mapema..!
Lazima atadanganywa. Si ushauri mzuri.We mpigie baadae umuulize maswali yote yaliyo moyoni mwako alaf utajua cha kufanya.
Si ushauri mzuri, ungekuwa wewe usingefanya hivyo.Sasa mbona unajump kwenye conclusion kaka? Kama huyo bi dada aliibiwa simu je? Kwa hiyo ulivyoambiwa wee nani ukakata simu kwa kuogopa? Fanya uchunguzi kwanza usianze kupagawa mapema mapema..!
Ushauri potofu kabisawala usiwe na presha muulize maswali vizuri tuu akisharudi hamna presha...kama kweli anacheat basi usiwe tabu unamwambia tuachane basi au ikiwezekana mwambie basi lets have a 3sum na huyo jamaa wa moro since u like both our d*cks
Ulianza vizuri, umemalizia vibaya. Ukweli ni kuwa anaibiwa sana tu.Unaibiwa shituka ..........nakutania bana huyo lazima kapoteza/kaibiwa simu au unamhisi kacheat na jamaa
Eish! Ndo ushauri gani huu sasa?loh. . . . . . . . !
Sawa japokuwa lazima jamaa atadanganywa tu....Kwahiyo usaidiwe list ya maswali ya kumuuliza?
Haya. . . . .
1. Piga namba yake/kutana nae kama amesharudi.
2. Mjulie hali na habari ya safari.
3. Muulize iwapo simu yake anayo yeye.
NDIO (muulize ilikuwaje siku ile ambayo hakuwa akipatikana). . HAPANA(muulize iko wapi/ilikuwa wapi).
4. Kutegemea majibu ya no. 3 muulize iweje simu yake ikapokelewa na mtu mwingine tena mwanaume.
Utetezi wake utasaidia kukuongezea maswali ama kukupa amani.
Nani mapepe? Aliyeomba ushauri au wewe uliyemshauri?Acha mapepe wewe , kuwa na subra .
Bingo!!!! Nimekuzawadia na LIKE. Napenda shauri za namna hii. hamna longolongo wala kupakana mafuta kwa migongo ya chupa.Aaaah! soma alama za nyakati! chukua hatua, kabang! lol
Nina mpenzi wangu ninae mpenda sana, alisafiri kwenda Moro alipofika turiwasiliana vizuri tu.kesho yake jioni kuanzi saa 2 mpaka saa 7 usiku simu aikupatikana nilipo mtafuta asubui simu iliita na akapoke mwanaume na kuniuliza mi ni nani... Nilichoka cjui huyu bint nianzie wapi kumuhoji..
Kaka naomba nikufundishe kitu kimoja tu, katika mapenzi kitu kikubwa ni kujiamini na ukiweza hili basi utamwamini mwenzio, it seems hamjawah kuwa apart thts normal, halaf wapenzi wasiojiamini huwa wanatabia yakuunganisha mawazo yao kwa vitu wanavyowaza na kujump inti conclusion, wewe ni mwanaume jiamini ili umwamini na mwenzio, mpigie simu muulize yote usikie jibu lake then uamue usiamue kabla hujamsikiliza, usijali kama anakupenda hawezi kukusaliti unless unauhakika na unamjua hajatuliaNina mpenzi wangu ninae mpenda sana, alisafiri kwenda Moro alipofika turiwasiliana vizuri tu.kesho yake jioni kuanzi saa 2 mpaka saa 7 usiku simu aikupatikana nilipo mtafuta asubui simu iliita na akapoke mwanaume na kuniuliza mi ni nani... Nilichoka cjui huyu bint nianzie wapi kumuhoji..